Since umeuliza ngoja nikwambie. Sijawahi kubadili ID yangu na sijawahi miliki ID mbili tofauti, ukizingatia mi sio Active member kiviile. So jiwe halinihusu mkuu ila nimecheka tu kuna jamaa alivyosema eti asije tongoza watu mara ya 2, 3 au ya 4