Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,347
Una nikumbushe enzi niko chuo , nilikuwa namiliki demu wa kusauth African , mida kama hii tuko town tunakula bata,
Tulio na wapenzi UDOM tutaumia lini ?
Huu uzi umenisaidia sana kimaisha, hakika mshahara na cheo kazini kitapanda kwasababu ya huu uzi.
TunakulagaHainaga makombo siyo
Mwandiko kama kinana mwenye PhDPambana mzee, everyman for his own, ukitegemea mtandao ukufeed kila kitu unachohitahi katika maisha utafeli...mambo mengine ni just for fun, hamna mtu yuko hapa ila upate mshahara ama cheo kazini kwako, ama kwenye term ulivyo agree ilikuambia hivyo?get a life
Upo kwa ajili ya kuchuma dhambi zako aisee, sio kwa ajili yangu.Ha ha chagua tuandike vipi?nipo hapa kwa ajili yako japokuwa nipo vyombo, maana yake i am free, drinking
Kwa kweliAmbao hatuna konekisheni kuuelewa huu uzi ni ndoto.Tusome zingine tu
Mmeanza kuumia tokea ijumaa iliyopita.Tulio na wapenzi UDOM tutaumia lini ?
Kubadili mlo japo mara moja si mbaya hasa ukizingatia kitu chenyewe hakiishi na mmiliki hujui lolote juu ya kinachoendelea. Japo ni kweli kuwa inauma ukijua. Kitu usichokijua kitakutesaje?Huu uzi sio wa kitoto, ni pure facts kwa watu wenye wake zao na waume zao, na hata wanaosomesha wapenzi wao, niliouanzisha sio mtoto just a great thinker
Unakuta mtu machoz yanamlengalenga tuNdo wameshagraduate au....?
Ila watoto wa chuo bhana majanga kweli aisee.
Nyumbani kuna chuo flani cha ualimu basi bwanaa wafanya biashara wa nyumbani wanaopoa watoto na kuwasomesha wakimaliza tu hawaagi wala nini unakuta mfanyabiashara analialia tu.

Kupitia uzi tu wa jf ghafla kapanda cheo na mshahara ukaongezeka. Bangi hiziPambana mzee, everyman for his own, ukitegemea mtandao ukufeed kila kitu unachohitahi katika maisha utafeli...mambo mengine ni just for fun, hamna mtu yuko hapa ila upate mshahara ama cheo kazini kwako, ama kwenye term ulivyo agree ilikuambia hivyo?get a life
Shida zako unazijua mwenyeweUmieni tu huko mimi sijali na niko well off hapa napata per hour tzs 60,000.
Si mnalea mashetani magogoni? Mnashindwa hata kunya tu getini ikulu kuonyesha frastreshen zenu?
Kawaida wanachuo ndio huleta mabadiliko na mageuz nchini.
Who cares
Maumivu yakizd tuende wapi ?Mmeanza kuumia tokea ijumaa iliyopita.