Mlio na wapenzi udsm leo mnaumia

Mlio na wapenzi udsm leo mnaumia

Wewe umeshajiandaa kisaikolojia???

Hata sijajiandaa kuna mabinti kama watatu amvao hata sina mahusiano nao ya kimapenzi wananiuliza nna plan gan usiku huu, na wote wapo udsm, ndio kimenichochea kuanzisha huu uzi
 

Attachments

  • IMG_8371.JPG
    IMG_8371.JPG
    76.7 KB · Views: 51
Viwanja gani nitapata hao watoto wa udsm?
 
Tuko nao Viwanja vya Posta hapa Kijitonyama... Kuna tamasha la Castle lite unlock!!!
 
Umieni tu huko mimi sijali na niko well off hapa napata per hour tzs 60,000.

Si mnalea mashetani magogoni? Mnashindwa hata kunya tu getini ikulu kuonyesha frastreshen zenu?

Kawaida wanachuo ndio huleta mabadiliko na mageuz nchini.

Who cares
 
Back
Top Bottom