mwanga mweusi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 288
- 473
Hivi mlioaje maana mimi sielewi eti kuna woga mkubwa nahisi nikioa najiona kama nitakosa uhuru nikioa yani naona nikioa atakua kama hawa wake za watu ninavyo waona mh.
Au atanifanya kama yule alivyo nifanya .
Ila nilivyo siwez kuoa mwanamke mzuri sana maana wanamendewa sana na nimashetani kasoro mapembe. Hata mbaya tabia ni tabia tu.
Basi kama vp nitafute katoto japo sitamani iwe ivyo nataka familia moja sio moja yupo kule..
Kuoa kunahitaji moyo na ujasiri jaman natamani nioe niwena familia japo sina hata dem. maana sijui namtafutia nan sasa najenga sababu gani kama sina hata mtoto.
Natafuta rafiki wa kike tutafundishana mengi awe kwenye 18 kwa 21 mm 24