The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 91
- 353
Nyie jamaa mnaharibu watu kwa mawazo yenu ya nyeto hayoSasa wewe 23 mahusiano ya nini?, hebu kula nyeto kwanza hadi mkono ufuke moshi
😃😃😃Amna haja ya kutumia nguvuMahusiano ni kama mavuz* tuu yanaotaga yenyewe.
nime kuharibu lini?Nyie jamaa mnaharibu watu kwa mawazo yenu ya nyeto hayo
Wakati mwengine wanawake wanafake(wanatengeneza shida) ili kupima kama unaweza kuwa mtu anayejali shida zake au laah!!,pia wanaweza kufanya vitu ambavyo vitakufanya ujiulize marambili kutaka kumtongonza au laah!!Ndugu zangu wana JamiiForums, naombeni muongozo wenu.
Nitumie njia gani maana naona kwenye hatua za awali tu kumu approach anakuomba hela, sasa kwangu hii huni disappoint sana na hii si mara ya kwanza.
Naombeni ushauri wenu, umri 23.
Kwa mfano huyu sina mpango wa kumtafuta tena wakati namba ake nilipata juzi tu. View attachment 3324816