i think hard disk iko mbioni kufa. Hamisha ma docs na mafile yako muhimu to a safe place ASAP!ni laptop aina ya Dell Latitude D600, ya zamani eti? Basi huwa inapiga kazi si mchezo,sasa hivi imeanza kutoa mlio wakati wa kufungua files hasa kama ni file kubwa,mlio wenyewe ni wachini sana kiasi kwamba sio rahisi kuusikia na unafanana kama wa msuguano hivi, sometime file linachelewa kufunguka au hata ku-freeze kabisa. Nitatizo gani hili wana JF?
asante sana na ngoja nijaribu then ntakupa majibu! Nimeamini ukiwa na jamii forum huwezi kuogopa kuishi vijijini, nikikwambia nilipo utanionea huruma!
TAKE NOTE OF THIS
1. HDD inakufa hizo tools haziwezi kuiponyesha! KUFA Kwa HDD kunatokana na msuguano wa kichwa kinachosoma na platter kuchubuka, kuchoka kwa motor, actuator mechanisms kufeli etc
2. Kama tatizo ni kufeli kwa HDD jibu bora ni kama waliosema waliotangulia. Back you Data. and forget about the damaged HDD.
3. Pengine hiyo sauti unayoisikia siyo hata ya HDD kama uliformat computer yako na ukaweka sound drivers ambazo siyo pia kuna sauti ambayo ni kama ya kukoroma kwa speaker vile!
4. Toa details za kutosha tukusaidie