Mlio gani anatoa mbwa mwitu?(What does the fox says)

Mlio gani anatoa mbwa mwitu?(What does the fox says)

Sifa za mbweha nini? Maana kuna watu wanatumia kama tusi na limewakaa kweli midomoni.
250px-Black_Backed_Jackal_Masaai_Mara_April_2008.JPG

Fox au kwa jina la kiswahili Mbweha.

Sifa za Mbweha ni wizi wa kuku na wanyama wengine kondoo mbuzi. Mbweha ana tabia ya uoga kila

mahali yeye huwa makini sana na ni mnyama asiye tosheka akikamata kuku mmoja basi siku ya pili yake

atakuja tena kukamata kuku

mwengine na ni rahisi kumtega kwa njia hiyo anakuwa ni mnyama mwenye roho ya tamaa. Sasa Mtu

akikufananisha wewe

sawa sawa naMbweha yaani amekufananisha na tabia za huyo mnyama ndio hivyo nijuavyo mimi.

Labda kama kuna watu wengine wanaweza kunisaidia kueleza vizuri zaidi.
 
[h=3]PICHA ZA MBWA MWITU WAKILA CHAKULA CHA MWISHO KABLA YA KUACHIWA HURU MBUGANI SERENGETI, RAIS KIKWETE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA VODACOM[/h]


​
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom hapa nchini Bw. Rene Meza, Ikulu Dar-Es-Salaam, walipokutana jana jioni, Ijumaa Agosti 31,2012, ambapo aliishukuru kampuni hiyo ya simu za mkononi kwa kuchangia katika mradi wa kuhifadhi mbwa mwitu katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mradi unaojulikana kama Vodacom Foundation Serengeti Wild Dogs Conservation Project, kwa dola za Marekani 450,000 kwa kipindi cha miaka mitatu. kumi na Moja, wamerudishwa mbugani siku ya Alhamisi Agosti 30, 2012 baada ya kuhifadhiwa kwenye boma maalumu la mradi huo, katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.

Mhudumu wa Mbwa mwitu hao akiandaa chakula cha mwisho kwa ajili ya Mbwa mwitu kumi na Moja, kabla hawajarudishwa mbugani siku ya Alhamisi Agosti 30, 2012 baada ya kuhifadhiwa kwenye boma maalumu la mradi huo, katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.
​
Pichani juu na chini Mbwa mwitu kumi na Moja wakipata mlo wao wa mwisho kabla ya kurudishwa mbugani siku ya Alhamisi Agosti 30, 2012 baada ya kuhifadhiwa kwenye boma maalumu la mradi unaojulikana kama Vodacom Foundation Serengeti Wild Dogs Conservation Project, katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.



​
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Jamii cha kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, Bw. Yesaya Mwakifulefule akiangalia Mbwa mwitu kumi na Moja wakipata mlo wao wa mwisho kabla ya kurudishwa mbugani siku ya Alhamisi Agosti 30, 2012 baada ya kuhifadhiwa kwenye boma maalumu la mradi unaojulikana kama Vodacom Foundation Serengeti Wild Dogs Conservation Project, katika eneo la Nyamuma, Magharibi mwa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, mkoani Mara.

​
 

Attachments

  • Mbawa mwitu 1.jpg
    Mbawa mwitu 1.jpg
    48.4 KB · Views: 172
  • Mbwa Mwitu.jpg
    Mbwa Mwitu.jpg
    58 KB · Views: 189
  • mbwa Mwitu2.jpg
    mbwa Mwitu2.jpg
    50 KB · Views: 120
  • Rais Kikwete.jpg
    Rais Kikwete.jpg
    39.1 KB · Views: 119
250px-Black_Backed_Jackal_Masaai_Mara_April_2008.JPG

Fox au kwa jina la kiswahili Mbweha.

Sifa za Mbweha ni wizi wa kuku na wanyama wengine kondoo mbuzi. Mbweha ana tabia ya uoga kila

mahali yeye huwa makini sana na ni mnyama asiye tosheka akikamata kuku mmoja basi siku ya pili yake

atakuja tena kukamata kuku

mwengine na ni rahisi kumtega kwa njia hiyo anakuwa ni mnyama mwenye roho ya tamaa. Sasa Mtu

akikufananisha wewe

sawa sawa naMbweha yaani amekufananisha na tabia za huyo mnyama ndio hivyo nijuavyo mimi.

Labda kama kuna watu wengine wanaweza kunisaidia kueleza vizuri zaidi.
hivi unajua watu wanawinda swala kwakutumia mbwa?mbwa ndo anafukuza mpaka anamkamata,iwe swala au sungura.
cha kushangaza fox akiiba kuku akifukuzwa na mbwa ,mbwa akifika tu anaweka mkia chini wanaangaliana nothing else.
 
Back
Top Bottom