Funga Meza
Member
- Mar 22, 2015
- 5
- 2
Imefahamika Tendewa atapandishwa kizimbani wakati wowote kuanzia sasa. ... hii ni 24th March 2015!.
Funga Meza?!, tupe update.
P.
Lowasa na wanaomzunguka ni majanga tupu
Tendewa yupo Usalama wa Taifa. Mtu wa Usalama wa Taifa kazi yake ni hiyo moja tu,kutishia kuua watu.
Na Hata Ukijifanya Kujipendekeza Anaweza Akakuua Vile Vile Na Bado Wewe Uliyeuwawa Ukahukumiwa Hivyo Hivyo Ukiwa Tayari Ni Maiti. Kaka Andrew Uhoiri Mwetu? Wapi Hiyo Msasani au Butiama Kwa Sasa?
Pasco, hawa jamaa wamekaa wote Butiama wakiwa wasaidizi wa Mwalimu hadi alipofariki. Ni kitu gani hasa kinachoweza kuwagombanisha hadi kufikia kitishiana kuuana?! Mzee Kasori kuna kipindi alidaiwa kuikimbia nyumba yake kuepuka hao wauaji. There's more to it than mere politics.Imefahamika Tendewa atapandishwa kizimbani wakati wowote kuanzia sasa. ... hii ni 24th March 2015!.
Funga Meza?!, tupe update.
P.
Mkuu naungana na wewe, kuna baadhi ya kazi, mafunzo na majukumu yao ni kufundishwa kuua tuu, na sio kutishia kuua!. Bodyguards wote wanafundishwa kulenga shabaha kwa dhumuni ya kuua tuu!, hata mimi kuna wakati nilikuwa ni mjeda, kazi ya jeshi ni kuua tuu, sio kujeruhi, wala kutishia!, wakati kazi ya polisi ni kutishia tuu, kujeuhi, na kuua pale tuu inapobidi!.Tendewa yupo Usalama wa Taifa. Mtu wa Usalama wa Taifa kazi yake ni hiyo moja tu,kutishia kuua watu.
Taarifa z kuaminika nikwamba mlinzi wa Lowassa anaetambulika kwa jina la Aloyce Tendewa yupo mbioni kufunguliwa kesi ya kumtishia kumuua aliyewahi kuwa Katibu binafsi wa Nyerere bwana Kasori Imefahamika Tendewa atapandishwa kizimbani wakati wowote kuanzia sasa.
kazi ya polisi ni kutisha tu,we mzee wewe!!!Mkuu naungana na wewe, kuna baadhi ya kazi, mafunzo na majukumu yao ni kufundishwa kuua tuu, na sio kutishia kuua!. Bodyguards wote wanafundishwa kulenga shabaha kwa dhumuni ya kuua tuu!, hata mimi kuna wakati nilikuwa ni mjeda, kazi ya jeshi ni kuua tuu, sio kujeruhi, wala kutishia!, wakati kazi ya polisi ni kutishia tuu, kujeuhi, na kuua pale tuu inapobidi!.
Pasco