Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
sasa na aliyevaa jeans zipu wazi imekuaje???
Anataka kula kiboga,kwani mla nae huliwa
sasa na aliyevaa jeans zipu wazi imekuaje???
mku hiyo avatar yako ndiyo sura yako halisi ?, uwe mkweli tu
kaazi kwelikweli, kwa hiyo kipa kamzunguka beki wake kamtongoza mkewe....hizi timu za kibongo gizi, mpira utachezeka kweli hapa? cute b njoo uone timu ya mtaani kwenu kwa nini haiendi mbele!
Hahahahahaha hiyo ni sura ya kazi mkuu
Hahahahaaaaaaa ama kweliii nimejikuta nacheka sanaaaa....sipati picha wangemvua hiyo boksa nijionee choclet.... aseee wew mkuu wew
wanaume wanamalzana wao kwa wao, mwanamke atatafutwa na mwenzie!Na huyo mke kachukuliwa hatua gani????
wanaume wanamalzana wao kwa wao, mwanamke atatafutwa na mwenzie!
View attachment 251488
Aaaaaahhhh sasa mbona haachii iyo bukta? Nataka nione kama ana kibamia....
Mimi nikifumaniwa surudi nyumban
hahahaa...hapo ni kibamia tu, ungekuwa mhogo ungeonekana japo kichwa hapo...lol