Mlinda mlango maarufu afumaniwa mke wa beki wake

Mlinda mlango maarufu afumaniwa mke wa beki wake

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,917
ImageUploadedByJamiiForums1431436106.369044.jpg
Mlinda mlango mkongwe Aldina Hashimu ambaye amechezea AFC Arusha,Mtibwa,Mount Meru Warriors na Nyota ya Arusha akipata kibano baada ya kufumaniwa akila vyombo vya mke wa aliyewahi kuwa beki wa kulia Emmanuel Mwambinje huko Guest Kasoli makao mapya
Aibu hii ya kumla mke wa mchezaji mwenzake na beki wa kulia imemletelezea kula kichapo cha haja na kupata manundu mwilini
ImageUploadedByJamiiForums1431436139.638882.jpg
 
Huu ni ufala, demu wako analiwa kiboga we unakusanya watu unaenda kupigana ndio iwe nini sasa?
 
View attachment 251240
Mlinda mlango mkongwe Aldina Hashimu ambaye amechezea AFC Arusha,Mtibwa,Mount Meru Warriors na Nyota ya Arusha akipata kibano baada ya kufumaniwa akila vyombo vya mke wa aliyewahi kuwa beki wa kulia Emmanuel Mwambinje huko Guest Kasoli makao mapya
Aibu hii ya kumla mke wa mchezaji mwenzake na beki wa kulia imemletelezea kula kichapo cha haja na kupata manundu mwilini
View attachment 251241
attachment.php

attachment.php
 
ni kwamba watanzaia maadili yameshuka au ni exaggeration ya vyombo vya habari?...hakuna week kupita bila kuckia upuuzi huu.....hii ni ishara nyingne ya failing state.
 
ni njemba lakini ukishakamatwa unakua mpole
 
ujinga mkubwa huu... unapigiwa demu halafu unarusha picha??
 
Hii ni aibu kubwa sana.Huyo mwanaume anayedhalilishwa ni mtu mzima na kama ana watoto watakua wakubwa tu! Na hawezi kukosa mke pia!
Sijui familia yake itajisikia vipi!
 
sasa na aliyevaa jeans zipu wazi imekuaje???
 
wamechuja wanataka kurudi upwa kuwa macelebrity

Mhhhh, kweli ucelebrity unatafutwa kwa fujo kwelikweli! Kama angekua baba yangu sijui ningejisikiaje!
 
Kisheria hao jamaa waliomshika mshikaji na kumvua nguo wapo hatarini labda wawe na ushaidi mwingine kama picha za fumainzi wote wakiwa watupu la sivyo bwana emmanuel mwaminje ana kesi ya kujibu afanye mpango wa kuandaa fungu kubwa na good lawyers wa kumtetea kesi yake
 
Haya mambo wala hayapendezi, watu wazima hivyo, wote mkosaji na aliyekosewa hawana akili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom