nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Binafsi nampenda kumpongeza polepole kwa uzalendo wake wa kweli kwa taifa letu! Pia ningependa kumshauri yeye na wajumbe wenzake kwenye tume ya warioba ni vizuri wakaweka msimamo wazi juu ya katiba pendekezwa ya sitta, je wanaiunga mkono? Na kama ndiyo kwa nini? Na kama ni hapana kwa kiasi gani inatofautiana na maoni ya wananchi?