Mlimani TV
Member
- Oct 13, 2014
- 12
- 12
Katika kipindi cha keki ya taifa kinachorushwa kila Jumatatu saa mbili na nusu mpaka tatu na nusu hapa MLIMANI TV (chanel 114 startimes) leo tutakuwa na mjumbe wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba ndugu Humphrey Polepole,atatizama kwa makini utofauti kati ya rasimu ya pili ya katiba pamoja na katiba pendekezwa.
Je, ungependa kusikia nini? Unaweza tuma maoni yako hapa na hapo saa mbili na nusu wakati wa kipindi yatasomwa moja kwa moja.
Mlimani TV elimu kwanza.
Je, ungependa kusikia nini? Unaweza tuma maoni yako hapa na hapo saa mbili na nusu wakati wa kipindi yatasomwa moja kwa moja.
Mlimani TV elimu kwanza.