Mlimani city

Uchunguzi usio rasmi nilioufanya nimegundua watu wengi wenye maisha ya kuunga unga wanajifariji kwa majina mazuri kwenye mitaa na makazi wanamoishi na ushahidi ni American Chips Mgahawa uliopo Katesh Hanang huko, na pia si ajabu wananchi kujichukulia sheria mikononi kwa kubadilisha jina la Tandale kwa tumbo na kuita Oysterbay au Masaki Street!

Wakati huho huo hawa wenzetu wa daraja la kwanza kimaisha ili kutudanganya kwamba tu wamoja wanaweza kubadika kakibao kazuri Masaki huko titled Tandale Avenue...HAYA MAISHA JAMANI ACHENI TU!
 

Katesh cc: Gwangambo
 
Last edited by a moderator:

Kule Mtwara kuna sehemu inaitwa Dar es Salaam ndogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…