Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,142
- 166,071
Hivi biashara zinaendelea kama kawaida au mall ndio imefungwa kupisha mkutano wa kimataifa?
biashara inaendelea
Wapita njia hawajazuiliwa tatizo watanzania huwa tunasikiliza matangazo halafu tunachukua maneno yaliyotuvutia tu,barabara zitakuwa zinafungwa kwa muda maalum,asubuhi wajumbe wakiwa wanaelekea mkutanoni na jion watakapokuwa wanarudi mjini kwenye hotel walizofikia,biashara pale mall zinaendelea kama kawaida mkuu.
Nimeshakamata sicksheet.hiyo ndio Sullivan yenu na nyie muonje joto ya jiwe...
hiyo ndio Sullivan yenu na nyie muonje joto ya jiwe...
hivi ile kitu iliwatesa na foleni wa kwetu? aah mi leo mpaka saa nne ndo nimeanza safari
hivi ile kitu iliwatesa na foleni wa kwetu? aah mi leo mpaka saa nne ndo nimeanza safari
Kama wapita njia ya Sam Nujoma tumezuiliwa, hao wateja watafikaje hapo hata kama biashara hazijafungwa?
Heri yako wewe uliyejiajiri mwenyewe!
wacha tu wakwetu tulikumbwa na mengi...tukiisikia inakuja tena tunaenda holiday mji mzima tunawaachia mji wenyewe...
Soma katikati ya mistari hapo.ulilala wapi jana kwani?- Nililala kitandani mamushka
sifanyi wala kufanyishwa kazi mimi......staki kabisa!!! - Hongera kwa kuwafanyisha wenzako kazi
BHT kumbuka JACOB ZUMA yuko town be careful
Soma katikati ya mistari hapo.
Usisahau jana nimelala na kiu!
Nguli that name is dangerous in itself (before its acted upon) lol!!!