Mlima Sinai uko Saudi Arabia?

kama amri kumi mussa alipokea akiwa ashavuka bahari ya sham basi probably mlima sinai uko saudia ya sasa hivi!! ila kama amri kumi alizipokea before hawajavuka bahari basi upo misri
 
Acheni ungese wenye mlima wametulia nyinyi huku machokoroni mnatoka mapovu
 
kama amri kumi mussa alipokea akiwa ashavuka bahari ya sham basi probably mlima sinai uko saudia ya sasa hivi!! ila kama amri kumi alizipokea before hawajavuka bahari basi upo misri

Mlima Sinai (wa Egypt) pia ni baada ya kuvuka bahari ya Sham
Na huu wa Saudia ni baada ya kuvuka bahari ya Sham

Bahari ya Sham ina matawi mawili, moja ipo kwenye territory ya Misri, tawi jingine lipo Saudia

kama amri kumi mussa alipokea akiwa ashavuka bahari ya sham basi probably mlima sinai uko saudia ya sasa hivi!! ila kama amri kumi alizipokea before hawajavuka bahari basi upo misri
Kwani hujuikama eneo la Sinai ng'ambo ya pili ya bahari ya Shama ni sehemu ya Misri? Mbona hamtaki hata kujishughulisha na kujua jiografia ndogo kiasi hicho. hata uku-google tu unapata ramani yote ya Misri. Sinai ipo upende wa pili wa Bahari na sehemu ya Misri miaka yote. Ramani hiyo hapo.

nashukuru mkuu
 
Uislam unakupofusha maana naamini umesoma historia ya Musa na wana wa Israil na Amri kumi ila saivi unajivika blind fold

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislam unakupofusha maana naamini umesoma historia ya Musa na wana wa Israil na Amri kumi ila saivi unajivika blind fold

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nimesema siamini
Halafu unanishutumu kwa lipi hapo
Mbona vitabu vyote vimeandikwa sasa tatizo liko wapi kama mtu kaja na tafiti zake si ukampinge yeye

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Nafahamu mengi ndani ya bible. Huo mlima hautokusadia kitu. Be a good person
 
In Galatians 4:25, the Apostle Paul identifies
Mount Sinai as being in Arabia. He writes:
“For these are the two covenants: the one
from Mount Sinai which gives birth to
bondage, which is Hagar - for this Hagar is
Mount Sinai in Arabia, and corresponds to
Jerusalem which now is, and is in bondage
with her children –“ (4:24-25
 
Musa alipokea amri baada ya kutoka Misri, baada ya kuvuka bahari ya shamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…