Aisha ziaka Member Joined Jun 6, 2016 Posts 46 Reaction score 62 Apr 16, 2019 #21 zeshchriss said: Ngoja waje wenye ndoa zao....tunaodanga tutatoa majibu tukishaolewa na kuoana Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahahahahah
zeshchriss said: Ngoja waje wenye ndoa zao....tunaodanga tutatoa majibu tukishaolewa na kuoana Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hahahahahah
The Guitarist JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,428 Reaction score 4,774 Apr 16, 2019 #22 Nlikutana nae high school akiwa form one mimi form five sasa hivi tuna watoto wawili.
kanali mstaafu JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 4,318 Reaction score 4,114 Apr 16, 2019 #23 Mm sijaoa ila naopoa mademu kwny daladala Sent using Jamii Forums mobile app
True Believer JF-Expert Member Joined Mar 6, 2019 Posts 588 Reaction score 900 Apr 16, 2019 #24 Mm bdo cjakutana nae °•°Faith •Hope •Charity•°•
C Cute Cindy JF-Expert Member Joined Apr 9, 2019 Posts 211 Reaction score 598 Apr 16, 2019 #25 zeshchriss said: Ngoja waje wenye ndoa zao....tunaodanga tutatoa majibu tukishaolewa na kuoana Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kama kweli una tabia ya kumchuna pesa kila mwanaume anaekutongoza, basi itakuwa vigumu sana kwa ww kupata mwanaume atakaekuoa zeshchriss
zeshchriss said: Ngoja waje wenye ndoa zao....tunaodanga tutatoa majibu tukishaolewa na kuoana Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kama kweli una tabia ya kumchuna pesa kila mwanaume anaekutongoza, basi itakuwa vigumu sana kwa ww kupata mwanaume atakaekuoa zeshchriss
Zesh JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 15,450 Reaction score 25,155 Apr 16, 2019 #26 Cute Cindy said: Kama kweli una tabia ya kumchuna pesa kila mwanaume anaekutongoza, basi itakuwa vigumu sana kwa ww kupata mwanaume atakaekuoa zeshchriss Click to expand... Sio kila kinachoandikwa unakichukulia serious Mara nyinyi humu tunafurahisha genge .... Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
Cute Cindy said: Kama kweli una tabia ya kumchuna pesa kila mwanaume anaekutongoza, basi itakuwa vigumu sana kwa ww kupata mwanaume atakaekuoa zeshchriss Click to expand... Sio kila kinachoandikwa unakichukulia serious Mara nyinyi humu tunafurahisha genge .... Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Apr 16, 2019 #27 katoto kazuri said: Wadau mlikutana wapi na mpenzi wako kwa mara ya kwanza akakuvutia kipi tofauti hadi ukakubali kumuoa/kuolewa naye? Sent using Jamii Forums mobile app Kama haupo serious usicomment Click to expand... Usikute wewe ni Amber rutty Sent using Jamii Forums mobile app
katoto kazuri said: Wadau mlikutana wapi na mpenzi wako kwa mara ya kwanza akakuvutia kipi tofauti hadi ukakubali kumuoa/kuolewa naye? Sent using Jamii Forums mobile app Kama haupo serious usicomment Click to expand... Usikute wewe ni Amber rutty Sent using Jamii Forums mobile app