Mimi wa kwangu nilimwona mtoni maji yakimpeleka ,nikamuokoa kwenye maji na kumpa huduma ya kwanza baadae nikaona ni vyema nikwende nae ndani kwangu kumpa huduma ya kwanza vizuri zaidi ,ilivo fika jioni jioni akaniambia anataka aende kwao ,nikamwambia hapana bado sijaridhika na afya yako endelea kupumzika tu kwanza ,(nilijipa udaktari kabisa).Usiku huo nikalala nae kitanda kimoja bila mtu kujua pale nyumbani, asubuhi ndo walisikia sauti ya mwanamke ndani kwangu na kunibananisha ,niseme ni nani yupo huko , nikajikaza nikasema nimeowa,, wakarecha wewe
Baadae wazee wakaenda kwao kwa binti kusema kuwa "kuna mtoto wenu tumemuona kwetu hatujui kafikaje "Hoi na hoi lyuhoriane kyindo kyisie kipfa nyi shisdo sha wana " Hapo nikajipatia Mrembo bila jasho wala hata kuonga siku moja