The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 258
Siku moja nyani alitafuta all means za ku die akakosa. Alipompata simba amelala aliona ni poa amsumbue ili aliwe afe. Basi alienda akamtia simba kidole hadi simba akaamka.
Simba: nani amefanya hivyo?
Nyani: ni mimi!
Simba: kuna yeyote ameona?
Nyani: hapana!
Simba: basi fanya tena....
yuzanem yako mkuu na hii kama haziendani hv?Siku moja nyani alitafuta all means za ku die akakosa. Alipompata simba amelala aliona ni poa amsumbue ili aliwe afe. Basi alienda akamtia simba kidole hadi simba akaamka.
Simba: nani amefanya hivyo?
Nyani: ni mimi!
Simba: kuna yeyote ameona?
Nyani: hapana!
Simba: basi fanya tena....
Excellent we ni mkali zaidi...thnksmkuu nimependa hii,we mkare
Usijali hata sisi watumishi samtym tunahitaji tips kaa hz kupunguza stress..yuzanem yako mkuu na hii kama haziendani hv?
usijali hata sisi watumishi samtym tunahitaji tips kaa hz kupunguza stress..
Siku moja nyani alitafuta all means za ku die akakosa. Alipompata simba amelala aliona ni poa amsumbue ili aliwe afe. Basi alienda akamtia simba kidole hadi simba akaamka.
Simba: nani amefanya hivyo?
Nyani: ni mimi!
Simba: kuna yeyote ameona?
Nyani: hapana!
Simba: basi fanya tena....
Hata katika binadamu,mabaunsa wengi ni mapunga!mi lyk it.Siku moja nyani alitafuta all means za ku die akakosa. Alipompata simba amelala aliona ni poa amsumbue ili aliwe afe. Basi alienda akamtia simba kidole hadi simba akaamka.
Simba: nani amefanya hivyo?
Nyani: ni mimi!
Simba: kuna yeyote ameona?
Nyani: hapana!
Simba: basi fanya tena....
hahahahah haya mlevi mwenzanguuu..Nilipoanza kusoma hii thread nilijua tu itakuwa za kilevi kwani wewe mwenyewe mlevi tht why unatumia jina la mwenzio.
Malizana na police wako.
Haaaaa haaaa, bwana simbaaaaaaa!Siku moja nyani alitafuta all means za ku die akakosa. Alipompata simba amelala aliona ni poa amsumbue ili aliwe afe. Basi alienda akamtia simba kidole hadi simba akaamka.
Simba: nani amefanya hivyo?
Nyani: ni mimi!
Simba: kuna yeyote ameona?
Nyani: hapana!
Simba: basi fanya tena....
Siku moja nyani alitafuta all means za ku die akakosa. Alipompata simba amelala aliona ni poa amsumbue ili aliwe afe. Basi alienda akamtia simba kidole hadi simba akaamka.
Simba: nani amefanya hivyo?
Nyani: ni mimi!
Simba: kuna yeyote ameona?
Nyani: hapana!
Simba: basi fanya tena....