Mlevi na Kichaa

Pancras Suday

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
8,143
Reaction score
3,848
Mlevi alianguka kwenye dumu la taka, makalio yake yakawa nje kidogo. Akapita kichaa mmoja, akamshika makalio, mlevi akatingisha makalio yake. Kichaa akajisemea moyoni "mtaa huu una matajiri sana, matako mazima kabisa haya yametupwa"
 
Duh! u got amazing creativity man; I like it
 
Mkuu, upo vizuri kwenye hii sanaa.
 
Nimeipenda mkuu..kiasi fulani utapunguza kununa.
 
Ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah....
 
Nimecheka sana. Nadhani hiki ni kichekesho cha kwanza humu jf kwa kuwa na ubunifu wa hali ya juu. Umetisha sana, you have made my day,days,months, years, decades, centuries, millennium e.t.c.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…