mlevi ahisi kuwa yeye ni mungu

mlevi ahisi kuwa yeye ni mungu

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
Da!!! Pombe mbaya sana. Mlevi katangaza baa kuwa ana
wasiwasi kuwa yeye ni
MUNGU!!!!.
akaulizwa kwa nini anafikiri
vile? MLEVI: "kwa sababu kila nikifika
mtaani kwangu nasikia watu
wananiambia MUNGU WANGU
UMELEWA TENA???" Nikifika BAR naambiwa "MUNGU
WANGU UMERUDI TENA???" nikifika POLICE POST mkuu wa
ki tuo ananiambia, "MUNGU
WANGU HUJAACHA 2 POMBE???" nikiendesha baiskeli utasikia tu
"MUNGU WANGU ATAFIKA
KWELI???" walevi wenzake wakasema
"MUNGU WANGU WEEee.....
 
Mungu wangu haichekeshi sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
umekosea kutumia herufi kubwa, kwenye jina mungu
 
Mungu wangu!! kuna machalii great thinkers!! bado kubadilisha kwenye cheti cha kuzaliwa tu
 
Back
Top Bottom