Mrejesho sio mlejeshoHabari za weekend wakuu siku kama tano zlizo pita nilileta habari ya kua mchepuko wangu anatishia kuniachia sasa tumeachana rasmi jana ijumaa baada ya kutoka job jioni ilikua hivi ilikua mida ya saa tano asubuhi ijumaa nimeibeba familia yangu yote ndani ya gari tunaelekea masjid mjini njiani nikakutana na huyo mchepuko sikujua alikua anatokea wapi sianaijua gari yangu akaipungia mkono kwa mbele mi siku simama ila aliona ndani nimebeba watu nilizima cm zangu zote harakaharaka kwa kujua atapigia cm kweli baada ya kutoka masjid nikawasha cm ile tu kusoma Halotel cm yake ndio ya kwanza akaanza kutoa maneno makali na matusi na kejeli kwa mke wangu nakaamua kumkatia cm na kuizima kabsa kuepusha usumbufu nakaiwasha jioni nikakuta sms ya kuachana mimi na yeye anasema nisimpigie simu nikome kabisa kama nilivyokoma kwenye ... Anashukuru kwa kupotezea muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasira zake tu atakurudia tena yeye kakufuata kwa pesa zako..akiishiwa lazima akutafute...we mwenyewe mashine yake una i mindHabari za weekend wakuu siku kama tano zlizo pita nilileta habari ya kua mchepuko wangu anatishia kuniachia sasa tumeachana rasmi jana ijumaa baada ya kutoka job jioni ilikua hivi ilikua mida ya saa tano asubuhi ijumaa nimeibeba familia yangu yote ndani ya gari tunaelekea masjid mjini njiani nikakutana na huyo mchepuko sikujua alikua anatokea wapi sianaijua gari yangu akaipungia mkono kwa mbele mi siku simama ila aliona ndani nimebeba watu nilizima cm zangu zote harakaharaka kwa kujua atapigia cm kweli baada ya kutoka masjid nikawasha cm ile tu kusoma Halotel cm yake ndio ya kwanza akaanza kutoa maneno makali na matusi na kejeli kwa mke wangu nakaamua kumkatia cm na kuizima kabsa kuepusha usumbufu nakaiwasha jioni nikakuta sms ya kuachana mimi na yeye anasema nisimpigie simu nikome kabisa kama nilivyokoma kwenye ... Anashukuru kwa kupotezea muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kila anaekwenda kanisani akawa ni mchungaji.Ustaadh huoni unamkosea muumba wako kufanya zinaa?
Yaani mtu anafanya zinaa halafu unamuita Ustadhi.Au mimi ndio sijui maana ya Ustadhi?Ustaadh huoni unamkosea muumba wako kufanya zinaa?
Yaani unaona sifa kujitangaza kwamba wewe ni mzinifu,sikuelewi ujue.Huyo mkeo si kaingia choo cha kike,hasara tupu.Rudi kwa muumba wako ndugu,mwisho wa upuuzi huo ni kuambukizwa ukimwi na kwenda jehanam.Zinduka.Habari za weekend wakuu siku kama tano zlizo pita nilileta habari ya kua mchepuko wangu anatishia kuniachia sasa tumeachana rasmi jana ijumaa baada ya kutoka job jioni ilikua hivi ilikua mida ya saa tano asubuhi ijumaa nimeibeba familia yangu yote ndani ya gari tunaelekea masjid mjini njiani nikakutana na huyo mchepuko sikujua alikua anatokea wapi sianaijua gari yangu akaipungia mkono kwa mbele mi siku simama ila aliona ndani nimebeba watu nilizima cm zangu zote harakaharaka kwa kujua atapigia cm kweli baada ya kutoka masjid nikawasha cm ile tu kusoma Halotel cm yake ndio ya kwanza akaanza kutoa maneno makali na matusi na kejeli kwa mke wangu nakaamua kumkatia cm na kuizima kabsa kuepusha usumbufu nakaiwasha jioni nikakuta sms ya kuachana mimi na yeye anasema nisimpigie simu nikome kabisa kama nilivyokoma kwenye ... Anashukuru kwa kupotezea muda
Sent using Jamii Forums mobile app