Mlanguzi wa madawa atisha kuwaangamia ISIS

Mlanguzi wa madawa atisha kuwaangamia ISIS

Sidhani kama hii habari ina ukweli

UPDATE: The post about El Chapo Threatening To
Destroy ISIS turns out to have been incorrect.
Satiric blogger Steve Charnock, who works for
Thug Life Videos, a U.K. satiric website, said he
was the author of the ?fictional story? about
Joaqu?n ?El Chapo? Guzm?n threatening to
destroy ISIS, according to the Daily Mail.

Source:
Forbes Welcome
 
ISIS kwa mafia ni wachumba tu

Mafia watawafanya nini ISIS? ISIS hawafanyiki kitu kwanza wako mwezini wamejaa damu, halafu mbaya zaidi wana kipindupindu. Moja haikai mbili haikai
 
Mafia watawafanya nini ISIS? ISIS hawafanyiki kitu kwanza wako mwezini wamejaa damu, halafu mbaya zaidi wana kipindupindu. Moja haikai mbili haikai
Nazjaz hawa drug cartels ni habari nyingine hebu ingia mtandao wa mundonarco.com ujionee
 
Last edited by a moderator:
wengi wanajiona hum JF kama wapo tofauti Na wengine, dharau za kipumbavu kutafuta sifa
MOTOCHINI tafuta kwenye hii post yote kama kuna mahali popote nimemtaja mtu kwa ID kisha urejee hapa
 
Last edited by a moderator:
MOTOCHINI tafuta kwenye hii post yote kama kuna mahali popote nimemtaja mtu kwa ID kisha urejee hapa
mshana jr unakwepa kesi kitoto kweli, hivi ni nani asiyejua hapa anazungumziwa ni fulani?

Kila siku nakushauri we base tu kwenye ishu za:-
1: magari
2: stori za kishirikina na masonic whatever.
3: mambo ya mapicha picha kule jamii fotos.

Huko wewe ndo upo nondo balaa lakini huku kwingine wewe ni mweupe. Kuwa GT haina maana kuwa you know everything.

Ni ushauri tu.
 
Asante kwa mtazamo nipe ushahidi usio na chembe ya shaka achana na mambo ya kufikirika,... Ile reply yako nilifikiri ni sehemu tu ya kuchangamsha kumbe ulikuwa na lako....niliandika nilichokijua mimi ila wewe ukaja na tafsiri unayoijua wewe....this is not the way pal of becoming GT tusiishi kwa assumptions Bali tuishi kwa uhalisia
 
Last edited by a moderator:
ISIS ni hatari kuliko hao jamaa wa sinaloa,alikua anajifurahisha huyo el chapo
 
Sawa bwana kisheria umeshinda kesi lakini ki-ISIS umeshindwa.

Natumaini unajua hili na huko utakuwa unacheka sana, Bishaa...!!
 
Mshana siku hizi kabadilika,ustaarabu wote kwisha,
 
ISIS ni hatari kuliko hao jamaa wa sinaloa,alikua anajifurahisha huyo el chapo

Hawa walanguzi wana mitandao yao na ni hatari sana, hata hizi nchi zetu na marais wetu hawawezi thubutu kuwazingua wale. Kumbuka wao hawana sheria wala nini, wanakushtukiza kimya na kukufanyia unyama. Wana uwezo wa hata kuajiri snipers na mamluki wakutafute kokote ulipo.
 
Walanguzi wa unga hawana cha kuwafanya isis kwa kuwa isis kazi yao ni kuua na isisi sifa yao kuu kujiua! Unafikiri nani atamwogopa mwenzake hapo!isitoshe walanguzi wanategemea corrupts leaders ku operate wakati isis wako independent kiasi fulani maana hao handle wao wana operate in partnership!
 
Back
Top Bottom