sister act
Member
- Jan 3, 2014
- 38
- 15
Ni duka la nguo, Sinza mapambano.mwenye duka kapata uhamisho kikazi. Lina ac..kabati kubwa la alminium. Mlango mzuri wa kioo. Kwa anaetaka ani pm. Falame kwa mwezi ni laki moja tu!vitu vilivyomo ni maelewano.
sinza mapambano. Ukubwa sijapima ila pakubwa sana! 100,000 kwa mwezi . Malipo ni mwaka.Sinza sehm gani, chumba kina ukubwa gani? anaweza kutoa chumba pekeyake bila huo mzigo?
sinza mapambano. Ukubwa sijapima ila pakubwa sana! 100,000 kwa mwezi . Malipo ni mwaka.
sinza mapambano. Ukubwa sijapima ila pakubwa sana! 100,000 kwa mwezi . Malipo ni mwaka.
Kwa anaehitaji piga 0713154251
Ile sehemu kwa biashara ya nguo haifai...... binafsi sijawahi kuvutiwa kwenda pale .....