Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,944
- 4,511
Kama ilivyo ada katika jamii mkwe ni mtu anae heshimika sana kwa vile ndie mzaa chema. Mkazi wa kijiji cha Genkuru wilayani Tarime Marwa George ameuwa kwa kuchomwa na mkuki na baba mkwe wake John Mhabe (68) kwenye paji la uso katika kijiji cha Kitawasi anako ishi baba mkwe huyo baada ya George kwenda kudai ng'ombe 10 alizo toa mahari ya kuoa kwenye nyumba ya mzee huyo hii inatokana na George kaada kukimbiwa na mkewe baada ya miaka 3 ya ndoa.