Mkwasa mchezaji Ajib anakipaji kama Galincha.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,700
1,721
Kwa sisi watoto wa zamani tulikuwa na kumuona mchezaji 'acrobatic' wa Brasil enzi hizo Galincha. Nimekuwa navutiwa na staili ya mchezaji kama huyo hapa nchini kama Ibrahim Ajib Migomba, watatofautiana kidogo tu lakini kama kocha Mkwasa atagundua hili ampe nafasi kama ya mchezaji nguli huyo wa Brasil.
 
Back
Top Bottom