mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Urusi sio kwamba anampiga mkwara tu USA bali alishawai kufanya hivyo mara 12.Mkwala wa urusi ambao Marekani ameshindwa hata kuusemea wala kuujibu ni mzito usipime!
Kamwambia kitu cha kileo ni "electronic bomb" na ana uwezo wa ku-jam meli zake zote, ndege na missile system mpaka satellites zikabaki kama zezeta tu!
Hakuishia hapo akamwambia ili meli yake kubwa kabisa "destroyer" keshaifanyizia tayari miaka mingi iliyopita ni kiasi cha ku-activate tu jamming button kisha inapiga usingizi wa pono!
Mdokezo huu hapa:
Russia claims it can wipe out entire US Navy with a single ‘electronic bomb’.
Haijawahi kutokea marekani kuchimbwa mkwala halafu ikakaa kimya kama haijasikia vile!!!
Wewe ndio msemaji wao? Acha kujipendekeza kiasi hichoHii teknolojia hata u.s wanayo, israel walikuwa wanaitafiti na wao miaka michache nyuma huenda sasa wanaimiliki ila kinachoonekana ni kwamba inamuwezesha adui kuzimikiwa mitambo yote ya kidigitali ambayo imo kwenye mabomu, ndege n.k kwahiyo u.s hataweza kurusha bomu zake ila na yeye akiamua kuzima vya mrusi pia analo hilo e-bomb, sasa hapo vita itakuwa imehama kwenye moto wa mabomu itabidi irudi ardhini wapigane infantry, na hata wao hawataweza bila kuwa na mawasiliano ya kisasa waliyozoea kwa hiyo hapo hakuna mjanja tena!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]vita ya tatu ya dunia itakua ya mawe na fimbo........
Hii teknolojia hata u.s wanayo, israel walikuwa wanaitafiti na wao miaka michache nyuma huenda sasa wanaimiliki ila kinachoonekana ni kwamba inamuwezesha adui kuzimikiwa mitambo yote ya kidigitali ambayo imo kwenye mabomu, ndege n.k kwahiyo u.s hataweza kurusha bomu zake ila na yeye akiamua kuzima vya mrusi pia analo hilo e-bomb, sasa hapo vita itakuwa imehama kwenye moto wa mabomu itabidi irudi ardhini wapigane infantry, na hata wao hawataweza bila kuwa na mawasiliano ya kisasa waliyozoea kwa hiyo hapo hakuna mjanja tena!
Hapa paliniacha hoi mkuu, marekani na technology yake wamemdukulia ktk uchaguzi????Kama aliweza kwenye Uchaguzi
Ikawa vuta ni kuvute wao kwa wao
hahaha
Vimeli vyao vimepiga bonge la kona Tena kwenye speed ya 130k/h hahaha
Wewe umeuaaaaavita ya tatu ya dunia itakua ya mawe na fimbo........
Hiko ndio US inataka... ili US wakia attack wasisumbuliwe na mataifa mengine kwa kisingizio kuwa Urusi ndio imeanza uchokozUrusi alitakiwa amtwange USA na ikiwezekana liwe koloni lake
Natamani sana ili dunia iwe ya ujamaaUrusi alitakiwa amtwange USA na ikiwezekana liwe koloni lake
Vita ya nne itakuwa ya ngumi (Boxing )vita ya tatu ya dunia itakua ya mawe na fimbo........