Mkwara wa Ali Rajinani kwa Trump na Netanyahu

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,310
Reaction score
4,206
Ali Larijani 67, katibu mkuu wa usalama wa taifa Iran kauliwa leo na makombora ya Israel Jijini Tehran.

Ni wiki iliyopita tu alikuwa akizunguka mitaa ya Tehran kwa mbwembwe akiwadhihaki Trump na Netanyahu wawe makini karibuni watakuwa eliminated.

Badala yake leo kawaishwa faster kuzimu.

Marching through the streets of Tehran, in an attempted display of strength, the security chief dismissed the Israeli-US attacks on the capital as being 'out of desperation'.

'These attacks are out of fear, out of desperation. One who is strong wouldn't bomb demonstrations at all. It's clear that it has failed,' Larijani told state TV at the Quds Day march.

Halafu usikute hao anaongozana nao kwenye picha akidhani ni salama kumbe Mossad.



adriz de mbusii
 
Huwezi kupigana na tajiri wakati unajijua wewe ni maskini lazima atakushinda tu
Hata angekuwa mimi ndo muiran unipe mfano milioni moja dollar eti nionyeshe wapi kiongozi wangu alipo nitaonyesha tu uzalendo hulishi watoto wangu au wazazi wangu kuna uwezekano nikawa mzalendo nikafia vitani zawadi yangu ikabaki kusifiwa kwenye mitandao ya kijamii wakati uko nyuma wanangu watabaki wanaangaika au wazazi wangu
Uzalendo tuachie malaika tu na majini
 
Kauzwa bei nafuu?
 
Huwezi kupingana na tajiri wakati unajijua wewe ni maskini lazima atakushinda tu
Hata angekuwa mimi ndo muiran unipe mfano milioni moja dollar eti nionyeshe wapi kiongozi wangu alipo nitaonyesha tu uzalendo hulishi watoto wangu au wazazi wangu kuna uwezekano nikawa mzalendo nakafia vitani zawadi yangu ikabaki kusifiwa kwenye mitandao ya kijamii wakati uko nyuma wanangu watabaki wanaangaika au wazazi wangu
Uzalendo tuachie malaika tu na ma
Kauzwa bei nafuu?
Tena bila huruma kabisa
 
Kwa maneno tu, huwezi kuwashinda

Ila kivitendo, nchi zote zisizomjua Kristo na hazimpendi na zinamdhihaki Kristo, haziwezi kushere baraka ya Ibrahimu hata chambe

Aliyesema kuwa, kwako wanatoka Wafalme, hakumaanisha Marais bali watawala wa hii dunia!

USA akichoka kuitawala Dunia, Russia atashika na au China ambaye hatambui chochote alimradi tu asiwe asiyemtambua Kristo
 
Mkuu mbona alipigwa bomu siku ile ile ya maandamano so alijua tu atakufa. Maana ukishajitokeza wazi si obvious unakua tracked kuanzia uliporudi hadi ulipolala.

But he took the ultimate sacrifice kama to Mkwawa au Patrice lumumba hawakukimbia nchi ila waliuwawa na wavamizi.
 
Ila kivitendo, nchi zote zisizomjua Kristo na hazimpendi na zinamdhihaki Kristo, haziwezi kushere baraka ya Ibrahimu hata chambe
China vipi mbona imefanikiwa na sio tu sio wakristo bali sio waislam pia!! Na hata USA ina atheists wengi kuliko wakristo same to UK zimeasi ukristo na hata ku support ushoga na usagaji ila mbona inafanikiwa?
 
Aliyesema kuwa, kwako wanatoka Wafalme, hakumaanisha Marais bali watawala wa hii dunia!
Mbona Abraham ana watoto uarabuni au hujui Ismael na wale watoto sita wa mke wa ndoa wa Abraham yaani Keturah nao walipewa urithi mashariki ya kati?

Au kwa akili zako ulidhani Abraham ni Israel peke yake?
 
USA akichoka kuitawala Dunia, Russia atashika na au China ambaye hatambui chochote alimradi tu asiwe asiyemtambua Kristo
Mbona dunia ilishatawaliwa na Mongol Empire na Genghis? Ottoman empire iliyotawala miaka 600 ilikua waislam. Sijaongelea Persian/Aechemenid empire (iran) imewahi tawala dunia.

So sio kweli mpaka umkubali kristo ndio utakua mfalme. In fact ufalme wa kristo ni wakiroho zaidi sio wa kimwili according to the Bible.
 
Pia usipowasahau wagalatia uchwara hearly, Kambaku, Sir John Deere and 100 others zitto junior nao wachukue nakala.
Wagalatia uchwara kisa kupinga taifa dhalimu kama Israel ya Netanyahu? Ngoja siku waje kuibamiza Tanzania ili kuipora gesi ndio mtaelewa wale hawana lolote la mfanano na Israel ya biblia (basically makabila 10 yalishatoweka) hawa ni masalia tu ya wazungu wa Eastern Europe waliojinasibisha na dini ya uyahudi. Kasome kitabu cha 13th Tribe utaelewa ukweli huu
 
Kama nikweli basi Iran mamluki wapo wengi sana,na nataka wawafukuze wayahudi wote wenye asili ya Iran wote waondoke
Unataka wewe kama nani mkuu?
Na hiyo si ndio itawafanya watwangwe tena,maana wayahudi wapo kwa maelfu Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…