Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,091
Serikali ya Urusi kupitia Wizara yake ya Ulinzi, kwa mara ya 2 imefanya jaribio la Kombora jipya la masafa marefu linalodaiwa kuwa na uwezo wa kukatiza kutoka Bara moja kwenda lingine
Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin amesema Kombora hilo linaweza kufika popote duniani.
Ikumbukwe kuwa duniani sasa kuna hofu kubwa ya kutokea vita kuu ya dunia na mabomu ya nyuklia yamekuwa tishio kwa nchi nyingi.
Hatua hii ya Urusi inatajwa kuwa ni sehemu ya kuonesha ubabe kufuatia mgogoro ambao nchi hiyo unao na mataifa mengine kama Marekani na Uingereza baada ya kuwafukuza wanadiplomasia wa urusi katika nchi zao kwa madai ya kuwa Urusi ilihusika kumshambulia kwa sumu jasusi wake wa zamani aliyekuwa amehifadhiwa nchini Uingereza.
Mnaojua zaidi karibuni tujadili haya masuala..
============
Russia tested its new intercontinental ballistic missile (ICBM) for the second time on Friday, the country's defense ministry said in a tweet.
The nuclear weapon called Sarmat will replace the current Soviet-era missile called Veovoda.
Russia's ministry of defense tweeted a video showing the ICBM taking off.
It's the second test of Sarmat. The first took place towards the end of last year.
The test was carried out at the Plesetsk Cosmodrome, as spaceport in the west of Russia.
Russian President Vladimir Putin unveiled details of the missile in March. At the time, he said that the ICBM "can reach any point in the world." The ICBM was unveiled as part of a raft of defense measures during his annual State of the Union address earlier this month.
There are worries about the rising tension between some countries when it comes to nuclear weapons. North Korea has also been carrying out tests of its ICBM.
Russia's missile test comes at a time when it faces backlash from other major nations after Britain blamed the country for the poisoning of Russian former double agent Sergei Skripal. The U.S. and other countries have expelled some Russian diplomats. The Kremlin responded on Thursday by expelling 60 American diplomats from Russia.
Source: Russia tests its intercontinental ballistic missile that Putin says 'can reach any point in the world'