Mkuu wa Wilaya ya Magu, mkamate FAKE Deogratius Kisandu hapo Magu

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
Huyu Bw. Bernad Mtorela ambaye anajiita Deogratius Kisandu, tayari kisha enda kwa Mkuu wa Shule ya Magu Sekondari kumuomba amlinde pale mimi nitakapoanza kazi ya kisheria, na pia wameenda shule moja ya msingi hapo magu na kufoji TSM 9 iliionekane ametoka nalo jina hili shule ya msingi na wamemkubalia wa kishirikiana na Afisa elimu na mmoja wa maafisa utumishi hapo Magu wilayani. Pia ana kitambulisho changu cha Ubatizo alichokiiba kupitia mzazi mwenzangu mmoja, kitambulisho hicho nilipewa na Padre Kabu hapo Magu mwaka 1998 nikiwa najiaandaa kuelekea utawani baada ya kukatisha masomo yangu magu sekondari mwaka 1998 januari nikiwa kidato cha pili.

Pia sitakubali kuombwa msamaha bali msamaha unaombwa mahakamani "Defarmation case"

Pia amefoji mambo mengi sana kuhusu mimi ikiwemo kuiba nakala ya usajili wa kampuni yangu ya Teachers and Students Forums-Tanzania.

Pia usiwasikilize ndugu zangu hata mmoja, wengi wako corrupted kwenye hili swala.

Nakushauri mkuu wa wilaya fanyia kazi hili, utanikumbuka.

Deogratius Kisandu
Mtemi Kiongozi wa chama tarajiwa cha ACA.
 
wewe utakuwa umelogwa mkuu mbona hueleweki.Yaani mkuu wa wilaya amkamate kwa kupitia bandiko lako hapa

haa haa we kisandu huishiwi viroja!!!
yaani unataka dc afanyie kazi udaku wa mitandaoni? kwani hukumsikia his Excellency?
 
Back
Top Bottom