Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Niliwahi kushuhudia katika halmashari flani mkuu wa Wilaya anaomba mafuta ya gari kwa mkurugenzi na akapewa, Sijui yalitoka kifungu gani. Pinda jana amesema wakuu wa wilaya eti watasaidia kuwabana wakurugenzi mafisadi, sijui kama hii iko kwenye KatibaKazi zake ni kula hela za serikali za mitaa akisaidiana na mkurugenzi. Na pia kumwakilisha Rais katika ulaji huo wa hela na kuuza raslimali za wilaya husika kwa mhindi,mwarabu,mzungu na kama kuna mchina anajiweza anakaribishwa pia.
Hii iko kwenye ilani ya Magamba
Hahahahaaa!!!!!Niliwahi kushuhudia katika halmashari flani mkuu wa Wilaya anaomba mafuta ya gari kwa mkurugenzi na akapewa, Sijui yalitoka kifungu gani. Pinda jana amesema wakuu wa wilaya eti watasaidia kuwabana wakurugenzi mafisadi, sijui kama hii iko kwenye Katiba
Ha ha haaaa, hii itakuwa kali ya kidunia. Lazima itaingia kwenye Guiness Book of RecordsHivi hakuna Mkuu wa wilaya asiye na wilaya maalum??
JK haishi vituko, hakawii kumchagua Mkuu wa Wilaya asiye na wilaya maalum!!!
Yani anakuwa na mtu wake ambaye amekosa pa kumuweka, anampa tu cheo cha ajabu ajabu!!
Hahahahaaa!!!!!
Kwahiyo kabla ya uteuzi huu, kulikuwa hakuna ma DC mpaka Wakurugenzi wakatafuna hela??
:loco:

Inakuwaje kodi zetu kwa mabilioni zitumike kuhamasisha michango ya mwenge wakati kuna baadhi ya maeneo Mwenge huwa unachangia kuenea kwa UKIMWI kutokana na ngono zinazofanyika mkeshani. Katiba mpya inabidi iwatolee macho hawa ma DC ikiwezekana hii nafsi isiwepo kwani haina tija kabisaKuhamasisha michango ya mwenge,,..
FANCY NKUHI kutoka katika ulimbwende hadi uDCHivi hakuna Mkuu wa wilaya asiye na wilaya maalum??
JK haishi vituko, hakawii kumchagua Mkuu wa Wilaya asiye na wilaya maalum!!!
Yani anakuwa na mtu wake ambaye amekosa pa kumuweka, anampa tu cheo cha ajabu ajabu!!
Wataalam wa katiba naomba mnijuze
1. Zipi hasa kazi za mkuu wa wilaya?
2. Anatakiwa awe na sifa zipi hasa ku qualify kwa hiyo kazi?
3. Je anakuwa na WORKPLAN ya shuguli zake? Yaani kwa mfano mkuu wa wilaya akiingia ofisini asubuhi hadi anatoka jioni anakuwa amefanya kazi zipi na zipi? (in a normal business day)
4. Ufanisi wa mkuu wa wilaya unapimwa vipi?
Nimefikia hatua ya kuuliza hivi baada ya kupitia orodha ya wakuu wa wilaya na kukuta wana sifa, uzoefu na viwango tofauti vya elimu. Wapo wanajeshi, waandishi wa habari, wafanyabiashara, wakulima na watumishi wa kada mbalimbali. Kwa watu wa sifa mbalimbali kuteuliwa kufanya kazi ya AINA MOJA ndio imenipelekea kutaka kudadisi hapa jukwaani kazi hasa ya mkuu wa wilaya. Kama ni kuongoza ulinzi na usalama kwa nini wasiwe wanajeshi na polisi wastaafu, kama ni kuhamasisha Kilimo kwa nini wasiwe mabwana shamba, kama ni kukuza biashara kwa nini wasiwe wataalam wa biashara??? Nimejiuliza weeeee na kushindwa kupata jibu.
Pia kwa serikali kulipa mishahara ya kima cha juu kwa watumishi wapya 133, na kuwanunulia VX V8 133 kwa ajili ya kufanyia shuguli zao ni BUSINESS DECISION ya hali ya juu sana. Je kutakuwa na RETURN ON INVESTMENT inayotokana na kodi zetu kutoka kwa hawa wakuu? Naomba nisaidiwe ndugu zangu wanajamvi...