Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,199
Amini usiamini Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo (Mr. Kahindi) amepewa kichapo cha mwaka na Askari baada ya kukamata Piki piki yao iliyokuwa inasafirisha mali za askari mwenzao ambae alikuwa amefariki Hospitalini Bugando, hivyo waliamua kuisafirisha kuipeleka kwao na marehemu then yeye akaikamata. Baada ya kuikamata uzalendo ukawashinda wakampa kichapo kikali mpaka sasa amelezwa hosp ya Wilaya.
Source: Mwenyewe nipo hapa Biharamulo
Akiondoka tunaitaji uchaguzi kama atuitaji basi aendelee kuishi tu tunaitaji majimb sasa
Askari nao wameamua
Amini usiamini Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo (Mr. Kahindi) amepewa kichapo cha mwaka na Askari (JWTZ) baada ya kukamata Piki piki yao iliyokuwa inasafirisha mali za askari mwenzao ambae alikuwa amefia Hospitalini Bugando, hivyo waliamua kuisafirisha kuipeleka kwao na marehemu then yeye akaikamata. Baada ya kuikamata uzalendo ukawashinda wakampa kichapo kikali mpaka sasa amelezwa hosp ya Wilaya na yupo hooooooooiiiiiii.
Source: Mwenyewe nipo hapa Biharamulo
Ta Kamugisha nimepiga simu naambiwa aliyepigwa ni Katibu Tawala hebu fuatilia vizuri maana mie niko jirani hapa.