Mkuu wa wilaya amuunga mkono kamanda G Lema

Mkuu wa wilaya amuunga mkono kamanda G Lema

DC anaagiza Mkuu wa Shule avuliwe madaraka!!!! ama kweli ualimu na uonevu ni chanda na pete..huyu mkuu wa wilaya ni nani katika sekta ya elimu mpaka kufikia kumvua madaraka mkuu wa shule?

na aliyewachapa viboko je, Bulembo amesema wafanya kazi wa serikali wote ni ccm,ambaye hataki aache kazi hivo atawabana mwanzo mwisho ata viboko watakula wasije kipaka matope chama sikivu.
 
na aliyewachapa viboko je, Bulembo amesema wafanya kazi wa serikali wote ni ccm,ambaye hataki aache kazi hivo atawabana mwanzo mwisho ata viboko watakula wasije kipaka matope chama sikivu.
Wasamehewe maana hawalijui walitendalo na je mbona ni walimu tu? Hao wengine hawawaoni? Tatizo la kada hii imefikia hatua ya kudharauliwa hata na mabar maid na wale vimada wa wakubwa (mamburula) wanaopewa vyeo vya shuka.....I hate this na siku ikitokea wakagusa pale nilipo watajuta kuzaliwa...Tchhhh
 
Back
Top Bottom