Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,929
- 6,030
Mkuu wa Mossad katika hotuba adimu: "Mossad ina uwezo mkubwa na usiofikirika ndani ya Iran" kuna watu walikuwa wanasema Iran haiingiliki sisi Mossad tumejipenyeza kila sehemu mpaka katikati ya Tehran,
Tunakushukuru Waziri Mkuu na waziri wa ulinzi kwa kuidhinisha kila Operation tuliyoipanga dhidi ya Iran, tunaendelea kujitanua ndani ya Iran ili kuilinda nchi yetu ya Israel. Tunaendelea kuiangalia Iran kwa hicho la tatu na hatutaruhusi mawazo yoyote ya kutaka kuidhuru nchi yetu!!!
My take Iran ana Kazi ngumu sana huko mbele Gaidi Ayatollah anaweza kufa kabla ya siku zake!!!! Webabu mdogoye gTurn Adiosamigo na Mzee wa UHARO Ritz