sijui mamlaka hayo anayatoa wapi. Mtaka kijana huyu ambaye Mzumbe penyewe alimaliza kwa kuibia na kuigilizia kwa watu. Kamwe siwezi kuwa mkazi wa SIMIYU kuongozwa na RC aliyenusurika kudisco MzumbeMkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, John Aloyce.
Sababu iliyotolewa ya kusimamishwa kwake ni kushindwa kuisimamia Halmashauri kama inavyotakiwa.
Fazaa hyo ni jogoo kammeza kukuMteule wa Raisi anasimamishwa na mteule wa Raisi?