Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Mkuu wa mkoa wa mara Magesa Mulongo ametoa maagizo ya kuondolewa mara moja mganga wa zahanati ya Surubu na kulitaka jeshi la polisi kumhoji mhandisi wa maji wa wilaya ya Tarime kwa ubovu wa mradi.
Mkuu huyo amesema mhandisi Vita Mkupa atoe maelezo juu ya mradi uliogharimu milion 318 na maji kushindwa kutoka.
Mkuu huyo amesema mhandisi Vita Mkupa atoe maelezo juu ya mradi uliogharimu milion 318 na maji kushindwa kutoka.