Mkuu wa Mkoa wa Dar, naomba uniombe radhi mimi binafsi, sijajua wenzangu

huyu ndio kiongodhi wa kwanza kutamka kwamba baada ya rais hakuna kiongozi mwengine anayejiamini kama yeye !
UKOSEFU WA ELIMU BADO NI TATIZO TANZANIA..
unaweza kuitwa "msomi mzuri tu" na kilaza mwenzako
lakini kama kichwani ni fuvu tupu wenye akili watakubaini.
Mkuu ulisahau tuliambiwa elimu si kigezo tena bali ni uchapa kazi?Kwa ajili ya huyu huyu zero brain?
 
Ni sawa ukiwa unamsikia mtu kila mara anasema yeye ni mwanaume, ujue huyo yeye mwenyewe hana uhakika kama ni mwanaume. Mwanaume halisi aliye na hormones zote za kiume hana haja ya kuwaambia watu kuwa yeye ni mwananume.
 
Kama ni kweli kasema hivyo mimi nakubaliana naye maana sidhani kama kuna wanaume wengine zaidi yake hapa Dar tungeweza kujiamini kujiachia kinyumenyume kama yeye anavyofanya. Mwache aendelee kujiamini kama anavyodai ila ajue mke wake na ndugu zake wa karibu hawafurahii hayo mambo yake. Mtu "anayejiamini" huwa ana tabia ya kuwa kama chizi kwa kuwa kazi anazozifanya ni kinyume na maumbile halali.
 
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Jiji letu pendwa la Dar es Salaam.

Nikushukuru kwa kazi zako njema za kuujenga huu mkoa wetu pendwa. Lakini mheshimiwa kwa kauli zako za hapa jana au juzi kwamba kwenye huu mkoa hakuna mtu anayejiamini kama wewe, si kauli njema.

Watu tuna familia zetu na tunategemewa. Inakuwaje upo kwako na mkeo halafu anasikia kwamba hakuna mtu anajiamini kama wewe? Unadhani unapeleka ujumbe wa namna gani kwa wake na familia zetu?

Tunakuomba uwe unatafakari sana kauli kama hizi kabla ya kuzitoa. Haiwezekani watoto na familia zetu wajue kwamba sisi hatujiamini ila wewe tu. Hii si salama kwa familia zetu.

Fikiria tena na uniombe radhi mimi binafsi na wengine kama wanataka pia.

Nawasilisha.
Broo stress nyingine ni za kujitakia unamfatilia huyo mtu wa nini? Yaani kabisa wewe na mkeoa mnakaa mnaanza kumfatilia?
 
Inategemea hiyo tafsili yake ya kujiamili imechukuliwaje
Kila mtu aikchukulia kivyake kwa maana hiyo uliyochukulia wewe sawa uombwe radhi
Kwetu sisi hizi kauli mpito tu
 
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Jiji letu pendwa la Dar es Salaam.

Nikushukuru kwa kazi zako njema za kuujenga huu mkoa wetu pendwa. Lakini mheshimiwa kwa kauli zako za hapa jana au juzi kwamba kwenye huu mkoa hakuna mtu anayejiamini kama wewe, si kauli njema.

Watu tuna familia zetu na tunategemewa. Inakuwaje upo kwako na mkeo halafu anasikia kwamba hakuna mtu anajiamini kama wewe? Unadhani unapeleka ujumbe wa namna gani kwa wake na familia zetu?

Tunakuomba uwe unatafakari sana kauli kama hizi kabla ya kuzitoa. Haiwezekani watoto na familia zetu wajue kwamba sisi hatujiamini ila wewe tu. Hii si salama kwa familia zetu.

Fikiria tena na uniombe radhi mimi binafsi na wengine kama wanataka pia.

Nawasilisha.
Hana familia, hana vyeti, ila kafungashia.
Hicho ndicho alichonacho kwahiyo yeye ni mipasho mwanzo mwenga

Ukiwa na familia lazima akili ikomae kimaisha lkn kwa sababu ni baba BURE from Kolomije mshamba hawezi kujua hata dunia inazunguka vipi.

Huyo ndiyo kapewa cheo
 
Mi nataka aondoe sjui bodihadi, sjui ulinzi , silaha kilakitu aweke kando alafu twende Mkono mi na yy tu...hapo ndo tutajua nan anajiamini...staki maneno
 
Anajiamini wapi angeemimba mkewe tujue ni kidume kinajiamini na sio kumpeleka kupandikiza na bado ikakimbia yaani ikatoka. fungu la kukosa
 
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Jiji letu pendwa la Dar es Salaam.

Nikushukuru kwa kazi zako njema za kuujenga huu mkoa wetu pendwa. Lakini mheshimiwa kwa kauli zako za hapa jana au juzi kwamba kwenye huu mkoa hakuna mtu anayejiamini kama wewe, si kauli njema.

Watu tuna familia zetu na tunategemewa. Inakuwaje upo kwako na mkeo halafu anasikia kwamba hakuna mtu anajiamini kama wewe? Unadhani unapeleka ujumbe wa namna gani kwa wake na familia zetu?

Tunakuomba uwe unatafakari sana kauli kama hizi kabla ya kuzitoa. Haiwezekani watoto na familia zetu wajue kwamba sisi hatujiamini ila wewe tu. Hii si salama kwa familia zetu.

Fikiria tena na uniombe radhi mimi binafsi na wengine kama wanataka pia.

Nawasilisha.
Kwakweli atuombe radha kabisa ametuvunjia heshima pakubwa sana.
 
Hivi mkuu wetu wa Dar ameoa ? Kama ameoa amejaaliwa watoto wangapi ?? Kwani mwanaume anaejiamini kwanza tizama familia anayo iongoza .....
Nilifkiria sana kuhusu hilo
Kama hana familia sitashangaa akitoa kauli kama hizo

Lkn vp mbona hua naskia skia kua na yeye ni muumini wa Yale mambo ya mh cameroun
 
Mke wako ana kazi sana kama unatafsiri kila kitu kwa mtazamo wako.

Mtu anapotoa kauli yeyote anatoa kutegemeana na mazingira, hadhira, situations, focus yake na lengo ni nini....

Yeye alisema kwa wale wanaotaka kuhujumu juhudi zake na ule ni mkwara. Kama unatafsiri kila kitu unavyofanya utapata shida sana mkuu.

Kingine acha chuki zilizojificha.
hili nalo neno
 
Lack of communication skills at worst and self gravitating, mimi ni bora kuliko wewe !

Mashindano ya nani anajua kukejeli zaidi yangu! Inasikitisha sana! Ndio tulipofikia hapa.
 
Back
Top Bottom