Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, huu ni uchapakazi au kuchanganyikiwa?

mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
7,002
9,986
Ndugu wanabodi,

Nimeshindwa kumuelewa huyu ndugu mkuu wa mkoa wa DSM ndugu Makonda/D.Bashite kuitisha mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma Leo hii, lengo la mkutano huo ulikuwa nini?sijaona kitu cha muhimu alichowaambia wanahabari zaidi ya kuwaambia kuwa kesho kuna ugeni wa waziri mkuu wa Ethiopia,lakini cha ajabu taarifa ya habari ya SAA 2 usiku huu,

ITV wameitangaza habari hiyo kupitia wizara ya mambo ya nje, sasa cha kujiuliza Mkuu wa mkoa wa DSM kawa msemaji wa wizara, au ndiyo kuchanganyikiwa kuhusu uhakiki wa vyeti,maana hata mbele ya wanahabari alikuwa anaongea kwa uoga yaani hakujiamini kabisa, kitu cha ajabu wanahabari wameshindwa kumuuliza kuhusu vyeti vyake na jina lake halisi ni lipi?au wanahabari walikuwa wa upande mmoja?

Nawasilisha.

Mtoa post hilo jina lako linasadifu ulivyo hivi kweli hujui ipi ni sahihi kati ya neno 'habari' na 'habali'? naona post nzima umeshindwa kutofautisha hizo herufi hivi huko shuleni kweli mnawasikiliza walimu wenu? Hata usomee chini ya miti achilia mbali kusomea shule za kata lkn kwa hili lazima uwe na uelewa nalo.
 
Alijua akitia waandishi wahabari wa dar es salaam angehuthuria le mutuz na michuzi blog bass.. na tbccm
Alicheza na alama za nyakati kweli le akilikubwa lembululazi bashite..
 
Back
Top Bottom