Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Tamisemi, au kwa yeyote anayehusika, ni aibu kwa mkuu wa mkoa wa Tabora kutembelea lile li Nissan Patrol la kizamani ihali anaendesha mkoa mkubwa ambao mikoa kama ya Dar inaingia minne.
Msaidieni mheshimiwa mkuu wa mkoa aweze kupata gari linaloendana na hadhi ya ukuu wa mkoa. Kumuweka huyu mheshimiwa kwenye gari ambalo hata mimi afisa mauzo siwezi kulitumia ni jambo la kutia huzuni.
Pia kwa ujumla magari ya wakuu wa mikioa wengi yamechakaa... Ndio maana hata Bashite ameamua kulitelekeza gari la serikali na kutumia gari binafsi. Ni hatari kuwaweka wakuu wa mikoa wetu kwenye vyuma chakavu.
Wawezesheni kama mkuu wa mkoa, nadhani wa Lindi yeye nimemuona kwenye Prado mpya.
Hii itasaidia kuongeza tija na morali hasa katika kipindi hiki cha HOFU KUU!