Ningetegemea kusikia lolote kutoka kwake, ningetegemea kumuona hata kwenye TV akizungumzia hili lakini toka wakati wa maandamano na mikutano ya Mwanzo sijasikia lolote kutoka kwake, Pengine kwa kuwa vyombo vya habari ni vingi nimeshindwa kujua wapi kazungumza. Naomba mnijuze yuko wapi huyu KANALI SIMBAKALIA?
Na wale wakulima wa Korosho wanaodhulumiwa kila Leo ataenda kumaliza nani? Au hao vibaraka wako wa MAGAMBA. We kama unaona hizi vurugu chanzo ni GESI umekosea sana. Mimi ninaamini chanzo cha hizi vurugu ni KOROSHO gesi ni muendelezo tu. REJEA HII MADA YA 2011 halafu ulinganishe na kinachotokea leo https://www.jamiiforums.com/habari-...96558-ujumbe-wa-wazi-kwa-rais-jk-kikwete.htmlWiki Nzima watu wanafanya uharibifu serikali ipo Kimya,haingii akilini wiki nzima Raia wema wanapata shida, Maiti hawajai hata kwenye Bajaj? Peleka mtwara RC awe Kandoro, Rpc awe Kamhanda,Ocd awe yule zubeir wa Arusha mjini,mkuu wa upelelz wa mkoa Msangi, mkuu wa usalama mkoa awe Rama Ighound, IGP akodiwe mahita tumalize hii kadhia ya dhulam na uonev kwa Watumish waaminif na wakongwe kama kina mama Anna Abdala
Wengine uliowataja hapo ni wataalamu wa kungoa meno na kucha na kutupa majeruhi Mabwepande. Sasa kama wakipelekwa huko Mtwara msitu wa kutupa majeruhi wataupata wapi?.Wiki Nzima watu wanafanya uharibifu serikali ipo Kimya,haingii akilini wiki nzima Raia wema wanapata shida, Maiti hawajai hata kwenye Bajaj? Peleka mtwara RC awe Kandoro, Rpc awe Kamhanda,Ocd awe yule zubeir wa Arusha mjini,mkuu wa upelelz wa mkoa Msangi, mkuu wa usalama mkoa awe Rama Ighound, IGP akodiwe mahita tumalize hii kadhia ya dhulam na uonev kwa Watumish waaminif na wakongwe kama kina mama Anna Abdala
Wengine uliowataja hapo ni wataalamu wa kungoa meno na kucha na kutupa majeruhi Mabwepande. Sasa kama wakipelekwa huko Mtwara msitu wa kutupa majeruhi wataupata wapi?.
Ningetegemea kusikia lolote kutoka kwake, ningetegemea kumuona hata kwenye TV akizungumzia hili lakini toka wakati wa maandamano na mikutano ya Mwanzo sijasikia lolote kutoka kwake, Pengine kwa kuwa vyombo vya habari ni vingi nimeshindwa kujua wapi kazungumza. Naomba mnijuze yuko wapi huyu KANALI SIMBAKALIA?