Mkuu wa mkoa Kagera aja na style ya maduka ya kaya kwa ajili ya kuuza sukari

Haya ndio madhara ya maamuzi ya kukurupuka yaliyofanya na Magufuli,in general Mr President is doing a good job lakini hili la sukari kachemsha,aruhusu tuu sukari iingie kutoka nje then wapange mikakati ya kuzalisha ndani in a long term,watu wanataka sukari sio hizi useless drama huku sukari hakuna au iliyopo ni very expensive
 
Enzi za katuni za Chakubanga
Enzi za Kipindi cha Mikingamo
Enzi za Walanguzi
Enzi za Mabwanyenye
Enzi za Zidumu Fikra za Mwenyekiti
Enzi za Wanyonyaji
Enzi za Makabaila
Enzi za Azimio
 
Haya ndio madhara ya maamuzi ya kukurupuka yaliyofanya na Magufuli,in general Mr President is doing a good job lakini hili la sukari kachemsha,aruhusu tuu sukari iingie kutoka nje then wapange mikakati ya kuzalisha ndani in a long term,watu wanataka sukari sio hizi useless drama huku sukari hakuna au iliyopo ni very expensive
Wee kijana , mkubwa akishasema ni amri , kunyweni hata chai ya madafu .
 
Haya ndio madhara ya maamuzi ya kukurupuka yaliyofanya na Magufuli,in general Mr President is doing a good job lakini hili la sukari kachemsha,aruhusu tuu sukari iingie kutoka nje then wapange mikakati ya kuzalisha ndani in a long term,watu wanataka sukari sio hizi useless drama huku sukari hakuna au iliyopo ni very expensive
Itaingizwa but si na wafanya biashara wanaodhani wanaikomoa Serikali.
Wajipange kwa hasara kuu
 
Back
Top Bottom