Mkuu enzi za huyo uliemtaja ndo ilikua kila kitu kinatoka vatican,Iko vile kama kateuliwa kuombewa tuu manake naona kazunguka kwenye dini karibu zote
Kwani anataka kuwa kiongozi wa kidini?
Enzi ya Nyerere huyu angeshapigwa chini
Bonge la kiongozi...huku kwetu ukawa tunasubiri kampeni.Top Boss wa Dar yetu Makonda akiombewa Dua na Mufti Mkuu ili atakeleza kazi zake vizuri!
Chini akikagua Br. ya M'mala na kutoa agizo kwamba ikarabatiwe ndani ya siku 14!
Huyu kazidiMkuu enzi za huyo uliemtaja ndo ilikua kila kitu kinatoka vatican,
Mkuu ulichonena ni maneno kuntu, huwa mijitu michache myeusi inapenda sana kuendekeza udini ulioletwa na livingstone na tipu tipu, ni upumbavu sana, sijui udini huwa unasaidianini, kwenye kutenda kazi za nchi na maendeleo, huyu makonda kaamua kubalance kuna makalumekenge yanakuja kuleta mgawanyikoo tena humu!tuache udini wajameni!Udini naona unashamiri sasa,tuwe waangalifu utatugawa na athari ni kubwa.
Siku hizi basi watu wanachotwa kirahisi hivi!!! Watanzania wameamka. Ikifika wakati wa uchaguzi, watu wakifikiria shida zao watarudia tena kusema wako radhi wachague jiwe.Separation of religion and state please.
Hizi sarakasi za rejareja zitawachota wasiofikiri tu.
"Siku hizi" zinaanza wapi?Siku hizi basi watu wanachotwa kirahisi hivi!!! Watanzania wameamka. Ikifika wakati wa uchaguzi, watu wakifikiria shida zao watarudia tena kusema wako radhi wachague jiwe.