TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,673
- 1,571
Mkuu wa mkoa wa Tabora mh. Agrey Mwanri amepokea jumla ya madawati 81 yenye thamani ya shilingi milioni nne za kitanzania.
Kilichonishangaza mimi ni crue nzima ya mkoa wa Tabora ikiwemo kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa kuandaa "tafrija" ya kupokea madawati ya mikondo miwili ni aibu sana.
Mkoa mzima: katibu tawala, mkuu wa mkoa, afisa elimu mkoa, kamanda wa polisi mkoa, wakuu wa wilaya zote za mkoa na wengineo kujitokeza kushangilia madawati 81 ni kuonesha jinsi gani tunavyoshindwa na hili.