VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Leo sikutaji. Nakuhifadhi. Lakini, una cheo kikubwa kwenye moja ya Jumuiya za kichama (CCM). Mwanao mmoja ameula kwa kuteuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum. Wewe ni Mjumbe wa CC ya CCM. Ulikuwa kinara kwenye kampeni za uchaguzi zilizompa ushindi Rais Magufuli.
Tafadhali Mkuu, ruhusu uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam ufanyike. Mruhusu mwitishaji aitishe. UKAWA au CCM wakishinda hawatagusa maslahi yako hapa jijini. Ukikaa kimya zaidi, kila kinachokuhusu kitawekwa wazi. Humu na kwingineko. Nyaraka, picha na video zitawekwa wazi.
Tafadhali sana, nisikie kada mwenzako na ufanye nikuombacho. Ni hayo tu.
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam