Mkuu anaifagilia cdm?

Mkuu anaifagilia cdm?

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Akiwa ndani ya gwanda!
 

Attachments

  • GWANDA.jpg
    GWANDA.jpg
    95.8 KB · Views: 671
Ndo maana naona washabiki wengi wa magwanda hamnazo sasa ujinga gani huu umepost
 
Ndo maana naona washabiki wengi wa magwanda hamnazo sasa ujinga gani huu umepost

haiwezekani huyu akawa mshabiki wa CHADEMA, atakuwa ni ADC walioko mwanza, wanaotumia jina la marehemu Chacha Wangwe kuvuta hadhira
 
Haa ha haaa Jamaaa moyoni anafagilia swaga za M4C mwilini ni wa kijani..
 
Hala hala Msije mwishowe mkasema hadi mgambo wa jiji wanafagilia chama!!
 
Back
Top Bottom