Ukishakuwa baba wa familia halafu majukumu makubwa unayopaswa kufanya umeyakwepa, utabaki kupiga Umbeya tu.Juzi akihutubia akamsimamisha na kumtangaza mama mmoja Profesa kuwa alikuwa anaumwa kansa ya titi na kuwa titi lilikatwa lakini yupo hai.
Hili si jambo jema kwakweli kutangaza magonjwa na siri binafsi za watu hadharani inaumiza. Mambo ya binafsi yaachwe kuwa ya binafsi hata katiba inazuia kuingilia mambo binafsi ya watu na kuyatangaza hadharani
Ana certificate ya utani kama ukimsikiliza huwa anasema mtani wangu...Wakati mwingine anajikuta keshasema tu. Ndiyo maana huwa wanaandaliwa cha kuongea mapema, japo kwake naona anaongea anachojisikia.
Tena Ukinishauri Ndiyo Unaharibu KabisaSipangiwiiiiiiii
Tena Ukinishauri Ndiyo Unaharibu KabisaSipangiwiiiiiiii
Mama mzima?Wakati mwingine anajikuta keshasema tu. Ndiyo maana huwa wanaandaliwa cha kuongea mapema, japo kwake naona anaongea anachojisikia.
Hana muda wa kufikiria nini aongee yule. Hajui hiki ni cha busara au hiki si cha busara kulingana na mazingira au audience iliyo mbele yake. Naweza kusema ye ni roporopo, whatever comes in his head is qualified to be preceeded by his mouth.... kuna kufikiri baada ya kuongea na kufikiri kabla ya kuongea.
Hahhahaa wewe n yule jamaa anatukanaga kidhungu nawafananisha mno...yaan comments zako ziko kijazba daily..(unahemkwa had raha) mm bado nahemkwa huku uraiani..humu sitaki kabisa kujipa presha i real lov it..mm ningeendelea na kuchukia kila kitu ningezikwa october..ss hv miccm mingi inataabika bas nafurah kinoma!fakiUkishakuwa baba wa familia halafu majukumu makubwa unayopaswa kufanya umeyakwepa, utabaki kupiga Umbeya tu.
Utaanza kufuatilia nani anatembea na jirani yako, utajua jirani yako anakula dagaa kila siku, utaanza kuingilia ugomvi wa watoto wako wakigombana na watoto wa jirani.
Hana kazi sasa hivi, ndio maana anajitafutia majukumu ya kipuuzi tu kama kuvunja jiji as if hilo ni tatizo la wananchi.
=================
Ameweka Pending,
Matatizo ya ajira, annual increments, nyongeza za Mishahara, mdororo wa uchumi, machinga zig zag, wafanyabiashara, COVID-19 na vifo, elimu bure, madawati, watu kuuawa na kupotea, diplomasia, umeme wa mgao.
Hawezi kujihangaisha na mambo haya.