Mkutano wa UKAWA Wadoda

Mkutano wa mgombea udiwani ulitaka uwe na watu wangapi kamanda au umejaa upepo.
Kamanda tulia hivyo ukitikisika tu utavunja sindano bana miguu achia taratibu makalio dawa ipenye.

Pole sana kamanda najua unaumia lakini utapona.

Akitoa sindano pakaa dawa.
 


Kila kukicha hali inaendelea kuwa mbaya, UKAWA sasa wanaambulia kiduchu tu katika mikutano yao. Ona mwenyewe hali ilivyo hapo kwenye picha. UKAWA SASA YADODA
Ni wapi na lini? Mbona leo Tanga mjini wamefurika hadi kukosa hewa
 
Mkutano wa Ukawa hauwezi doda kamwe. Anzisha lingine gambaz Mr Chin
 
Last edited by a moderator:
Ila we Mr.chin,,tambua kuwa ajira inakushinda ukizingatia siku zinaisha
 
Tazameni shughuli hapa


​
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Iringa mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Samora.
​
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa ambapo aliwaeleza wananchi wa hapo kuwa ana historia na mkoa huo kwani alisoma hapo na alishafanya mazoezi ya kufundishia hapo hivyo atahakikisha mkoa huo unakuwa vizuri kimaendeleo.
​
Sehemu ya Umati wa wakazi wa Iringa mjini waliofurika kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli.
​
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi mji wa Iringa kwenye mkutano wa kumnadi Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye uwanja wa Samora.​
 
Mr Chin Mkuu nakusifu kweli kwa kujaribu kuzuia mabadiliko kwa mabango, wananchi hawaelewi mkuu hiyo ndio hali halisi.....natamani tungejuana, muda mwingine nakaa na wapambe wa viongozi wako wanawekabkila kitu wazi, hali sio nzuri kabisa huko LUMUMBA......kuna rafiki yangu anampigia picha mgombea wenu wa ubunge ananiambia hali ilivyo na jinsi vikao visivyoisha.......
 
Picha imetolewa upande
Apo tunaonana jukwaa ila
Mbele kuna Askari na watu wapo hiyo hali mbaya ii wapi??
 
Wewe umeona kilichomkuta magufuli mbeya na bdo apo ni kampeni za udiwan kawaida 2
 


Kila kukicha hali inaendelea kuwa mbaya, UKAWA sasa wanaambulia kiduchu tu katika mikutano yao. Ona mwenyewe hali ilivyo hapo kwenye picha. UKAWA SASA YADODA

Mbona wako sita tu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…