Mkutano wa ukawa leo jumapili

Mkutano wa ukawa leo jumapili

Mhonzuyadilu

Senior Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
156
Reaction score
53
Wadau na wapenzi wa harakati za mageuzi baada ya mimi kukosa likizo kwenda kumpa support mzee wangu kamanda wa CHADEMA huku home mpanda Rukwa, leo jumapili nimekosa pa kuelekea so nauliza kwenu makamanda mwenye ratiba ya mkutano wa ukawa maeneo ya hapa jijini Dar es salaam anijuze nikawaunge mkono wanajeshi wapya wa ukombozi niko pande za tabata mwanainchi relini.
 
Kuanzia saa nane na nusu pale kwenye Jengo la UVCCM
 
nenda pale mtaa wa lumumba

Kumbe hadi jumapili mnakuwa mpo ofisini mkuu mimi nilijua jumapili mnakuwa mpo majumbani na lap top zenu ila buku 7 zenu mnaingiziwa kwenye simu pia nauliza huwa mnapewa na ya kutolea maana tunabishana hapa tusaidie mkuu Assad
 
Ukawa wako kipunguni B viwanja vya bibi jela Leo karbuni nyote haya mshamba mnakarishwa pia kudaka Sera safi
 
Wadau na wapenzi wa harakati za mageuzi baada ya mimi kukosa likizo kwenda kumpa support mzee wangu kamanda wa CHADEMA huku home mpanda Rukwa, leo jumapili nimekosa pa kuelekea so nauliza kwenu makamanda mwenye ratiba ya mkutano wa ukawa maeneo ya hapa jijini Dar es salaam anijuze nikawaunge mkono wanajeshi wapya wa ukombozi niko pande za tabata mwanainchi relini.

UKAWA bado wapo!?
 
Back
Top Bottom