Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,410
Wadau, naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye taarifa za kufanyika kwa mkutano wa UKAWA pale Jangwani Dar Es Salaam leo tarehe 5.5.2014 kama tulivyotangaziwa juzi. Naona mpaka sasa hakuna taarifa zozote. Au ndo wamenywea baada ya Nape kuwalipua kule Pemba. Nilijua tu kuwa hizi ni nguvu za soda. Makali yake yanaonekana wakati wa kufungua kizibo tu