Mkutano wa Taasisi ya kampuni binafsi za Ulinzi Tanzania kufanyika Machi 2026 Dodoma

Mkutano wa Taasisi ya kampuni binafsi za Ulinzi Tanzania kufanyika Machi 2026 Dodoma

Captain 22175

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
300
Reaction score
494
Umoja wa kampuni Binafsi za Ulinzi Tanzania wanataraji kufanya mkutano wao wa kazi mnamo mwezi March 2026.

Mkutano huo utakua ni fursa kubwa kwa wamiliki wa kampuni za ulinzi kupata kazi, kufahamiana, na pia kuonana na viongozi wa serikali ili kutatua changamoto zao za kibiashara.

Akizungumza na vyombo vya Habari, mratibu msaidizi wa UKUTA mzee Juma nyamasheki amewasihi wakurugenzi Tanzania nzima kuhakikisha wanahudhuria mkutano huo muhimu.


Screenshot_20260126-113446_Google.jpg
 
Back
Top Bottom