Mkwala
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,178
- 1,274
Kiongozi wa chama cha CUF ambaye ni Mwenyekiti mwenza wa UKAWA anafanya mkutano Kigoma mjini lakini katika hali ya unyonge mkubwa kama vile hayupo UKAWA maana mahudhurio ni hafifu kweli.Nimegundua CHADEMA huwa wanatumia kigezo cha UKAWA kujaza nyomi ila Prof.Lipumba anadhalilika kwa kukosa wahudhuriaji.